4. MULCHER
Kazi kubwa ya mulcher ni kuandaa eneo la shamba yaani kufyeka mapori na kukata miti na kung'oa visiki vyote. Machine hizi mara nyingi ikija ikiwa nzima ni gharama sana, ndio maana wengi wananunua mulcher ambayo inafanya kazi kama implement(implement ni vifaa vinavofungwa kwenye tractors mfano jembe, harrow, planter)Monday, 29 May 2023
Related Posts:
Kilimo cha minaziEmail shafii.ismail09@gmail.com WhatsApp /call 0683308173 We… Read More
Kilimo cha muhogoEmail shafii.ismail09@gmail.com WhatsApp /call 0683308173 We… Read More
Kilimo Cha mtama Mtama ni kundi la mbegu ndogo aina ya mazao ya nafaka au nafaka … Read More
Kilimo cha machungwa Mchungwa ni jamii ya mlimao, lakin hustawi zaidi ukandawa … Read More
0 comments: