6. BOOM SPRAYER
Kazi kubwa ya boom sprayer ni kupulizia dawa shambani kwa ajili ya kuuwa wadudu au kwa ajili ya kuzuia majani kuota (wenye mashamba makubwa sana mara nyingi hawapalilii mashamba yao bali wanapuliza dawa inayozuia majani kuota)Elimika kuhusu kilimo na uwe milionea
0 comments: