3. HARROW (DISK HARROW)
Harrow inapitishwa sehemu ambayo jembe la tractor limepita, kazi ya harrow ni kusawazisha udongo uliochimbwa na jembe la trekta, uwe level. Kazi nyingine ni kukata kata majani au magugu yaliyopo shambani pia inaruhusu hewa kuingia kwenye udongo. Harrow zipo za aina nyingi na zinatumika kulingana na jinsi eneo lilivyo, kwa leo sitaelezea sababu ninataka tu ujue kifaa kinachoitwa harrow,lakini mara nyingi kwa Tanzania tunatumia disk harrowMonday, 29 May 2023
Related Posts:
Kilimo Cha mtama Mtama ni kundi la mbegu ndogo aina ya mazao ya nafaka au nafaka … Read More
Kilimo cha minaziEmail shafii.ismail09@gmail.com WhatsApp /call 0683308173 We… Read More
Kilimo cha machungwa Mchungwa ni jamii ya mlimao, lakin hustawi zaidi ukandawa … Read More
Kilimo cha muhogoEmail shafii.ismail09@gmail.com WhatsApp /call 0683308173 We… Read More
0 comments: