7. COMBINE HARVESTER
Hii ni machine ambayo inafanya kazi ya kuvuna, inaitwa combine harvester kwa sababu inafanya kazi zaidi ya moja katika kuvuna, kwa mfano katika kuvuna mahindi itakata mahindi inayatoa maganda mahindi halafu inayapukuchua kwa wakati mmoja. Combine harvester inaweza ikawa ni machine maalamu kama ilivyo kwenye picha, hapo chini au inaweza ikawa kwa mfumo wa implement(yaani kama kifaa chenye uwezo wa kuvuna lakini kinafungwa kwenye tractor, kama unakumbuka mara ya kwanza kabisa nilikuambia kuwa tractor lina linafanya kazi ya kuvuna)Monday, 29 May 2023
Related Posts:
Kilimo Cha mtama Mtama ni kundi la mbegu ndogo aina ya mazao ya nafaka au nafaka … Read More
Tatizo la nyanya kujikunja majani Wakulima wengi wamekuwa wakisumbuka saana huhusiana na Tatizo hi… Read More
Kilimo Cha nyanya chungu. (Ngogwe) Hatua za kufuata ukitaka kulima nyanya chunguNyanya Chungu ni z… Read More
Kilimo cha minaziEmail shafii.ismail09@gmail.com WhatsApp /call 0683308173 We… Read More
0 comments: